Samia Suluhu UNAIDS High Level by UN News Kiswahili published on 2021-06-08T20:20:16Z Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania akihutubia kwa mara ya kwanza Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwa njia ya mtandao amesema, “Ukimwi siyo tena hukumu ya kifo nchini Tanzania kama ilivyokuwa miaka 38 iliyopita. Vifo vitokanavyo na Ukimwi vimepungua kutoka elfu 64 kwa mwaka 2010 hadi elfu 32 mwaka 2020. Maambukizi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto yamepungua kutoka asilimia 18 mwaka 2010 hadi asilimia 7 mwaka 2020.” Genre News & Politics