JARIDA LA UMOJA WA MATAIFA 20 SEPTEMBA 2021 NA FLORA NDUCHA by UN News Kiswahili published on 2021-09-20T13:39:32Z Katika Jarida hii leo Flora Nducha anakuletea mada kwa kina inayo mulika jinsi Umoja wa Mataifa unachagiza mashinani mifumo endelevu ya chakula ikiwa ni kuelekea mkutano wa ngazi ya juu wa umoja huo hapa New York Marekani kuhusu mifumo ya chakula. Pia utasikia habari kwa ufupi zikiangazia Malengo ya Maendeleo Endelevu SDGs na Masuala ya Afya. Genre News & Politics