Jaridani 17 Juni 2022 na Leah Mushi- Watoto, utumikishaji, chanjo Gambia by UN News Kiswahili published on 2022-06-17T15:14:46Z Hii leo Ijumaa, Leah Mushi anakuleta jarida la habari likimulika: 1. Watoto kutawanywa duniani kote kutokana na machafuko, taarifa kutoka UNICEF 2. Mhamasishaji wa kijamii atumia ngoma na kipaza sauti kuhamasisha wazazi na walezi kupeleka watoto wao kupata chanjo. 3. Makala anakupeleka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC ambako Byobe Malenga amemulika utumikishaji watoto jimboni Kivu Kusini. Mtoto katoa ushuhuda. 4. Mashinani tunakwenda Geneva Uswisi ni harakati za Umoja wa Mataifa za kudhibiti matumiz iya silaha za vilipuko maeneo ya miji na majiji. Karibu! Genre News & Politics