Walanguzi ft Mwafreeka & Carter - Tuko Sawa by Mwafreeka published on 2013-04-25T22:32:30Z MWAFREEKA's VERSE Mi huget credit sihitaji kujidai Kwa Mic nishadu Styles mob kushinda dem wa Allan Muigai Na kukwendana na mimi ni kitu haifai Uzito wa rhymes zangu umetosha wewe kuzirai MC ka wewe mi humwambia sharrap (shut up), Akisharap Badala yako afadhali Daniel Toroitich Arap We ndiyo Mkenya Kibaki huita kumbafu Na hukuelewa vile walisema we ni mchafu Walimaanisha unafaa kwenda kwa bafu Upige shawa, upunguze idadi ya chawa Kwa mic hatuko sawa, wewe hauna kipawa Kama Esther Wahome Mwafrika ana dawa Ile nalazimisha MaMC kumeza Mbeleni hukuskiza vile walikueleza Kwa battle rhymes Mwafrika anarule Na nikishika kalamu naMurder Ink kama Ja Rule Genre Hiphop